Msaada wa matengenezo au ushauri

Msaada wa matengenezo au ushauri

yasini msangi

Member
Joined
Nov 13, 2013
Posts
16
Reaction score
5
nina desktop computer Lenova imegoma kuwaka ghafla . nikiiwasha inawaka ial haidispay kwenye monitor , na key board pamoja na mouse haviwaki , na nilijaribu kuifungua ndani nikakuta feni la kwenye processor halizunguki , je itakuwa na tatizo gani? na matengenezo yake yana cost bei gani?
 
Back
Top Bottom