Fino da Final
Member
- Jun 3, 2013
- 66
- 30
Simu yako ni model ipi??Wadau msaada simu yangu samsung s3 haipandish kabisa 3G na setting zote zipo sawa network mode ipo LTE/GSM/WCDMA(AUTOMODE) ila inasoma E na nkijaribu kuweka Gsm only inakata kabisa haisom hata E inakata kabisa nimeireset stil tatizo n hilo hilo nifanyeje wadau msaada pliz
Ni GT-19300Simu yako ni model ipi??
Wanaipata poa kabisa tena znasoma hah H*Sehemu uliyopo wengine wanapata 3G?
Hiyo behaviour imeanza lin? Ni tangu umeipata au hiv karibuni?Ni GT-19300
Toka nimeipata nduguHiyo behaviour imeanza lin? Ni tangu umeipata au hiv karibuni?
ni sim card ya kawaida 4G huku haijafika nimetumia line voda airtel na halotel zote tatizo linakua hivyo hivyoJe unatumia mtandao gani?Sim card yako ina uwezo wa 4G? Umeshawahi kuitumia nje ya hapo bado haisomi 3G na pia ushawahi tumia mtandao mwingine zaidi ya huo unautumia sasa? tafadhali jibu tunaweza kukusaidia
Natumia voda mkuuJe unatumia mtandao gani?Sim card yako ina uwezo wa 4G? Umeshawahi kuitumia nje ya hapo bado haisomi 3G na pia ushawahi tumia mtandao mwingine zaidi ya huo unautumia sasa? tafadhali jibu tunaweza kukusaidia
Izime kabisa. Hold buttons km ifuatavyo ikiwa imezmaToka nimeipata ndugu
Mkuu nshukur kwa ushaur nlifanya ulivyonielekeza ila hakuna kilichokea baada ya kubonyeza kufuata maelekezoIzime kabisa. Hold buttons km ifuatavyo ikiwa imezma
.home button + volume down then press power
Then itakuletea download mode hapo na utaachia hzo key zote
Then utapress volume up mara moja tu
Itakuja odin mode na ntaomba unisomee hyo product name yake.
Inatumia simcard 1 mkuuSimu yako inatumia simcard ngapi, tuanzie hapo
Toa hapo kwenye auto mode ya hizo gsm/wcdma weka kwenye WCDMA only pia hakikisha eneo ulilopo 3g ipo kwa mtandao mtandao uloweka lain.ikikataapandisha 3g kwenye APNWadau msaada simu yangu samsung s3 haipandish kabisa 3G na setting zote zipo sawa network mode ipo LTE/GSM/WCDMA(AUTOMODE) ila inasoma E na nkijaribu kuweka Gsm only inakata kabisa haisom hata E inakata kabisa nimeireset stil tatizo n hilo hilo nifanyeje wadau msaada pliz