kadada wa pili
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 201
- 108
Asante MkuuChukua epson 220..very economy..inauzwa laki nne na tisini.
Nunua Epson L385 inauzwa 400,000Habari Ndugu zangu.kama Kichwa kinavyojieleza naihitaji kujua mashine Nzuri itakayotoa photocopy na kuprint ambayo itafaa kwa matumizi ya nyumbani. Nina HP 1515 series Ila matumizi ya catrage yamekuwa ghali Sana. Msaada tafadhari nikijua na bei itakuwa vizuri. Asanteni
Hii l220 nimejaribu kugoogle sijaelewa inatumia wino WA Aina gani japo IPO vizuri nimeipenda ni ule wakujaza kwa tank au vile vicatrage vyakubadiliYa ovyo hiyo..haina viwango vya l 220
Ziko sawa kila kitu..Hii l220 nimejaribu kugoogle sijaelewa inatumia wino WA Aina gani japo IPO vizuri nimeipenda ni ule wakujaza kwa tank au vile vicatrage vyakubadili
385 365 220 zote ni sawaNunua Epson L385 inauzwa 400,000
Kwaiyo unaweza kutoa kopy na ku print mkuu?Chukua epson 220..very economy..inauzwa laki nne na tisini.
Ni wa tank mkuu..ina vitank kwa pembeni.Hii l220 nimejaribu kugoogle sijaelewa inatumia wino WA Aina gani japo IPO vizuri nimeipenda ni ule wakujaza kwa tank au vile vicatrage vyakubadili
Hazipo sawa kila kitu..nimetumia zote mbili..l220 ipo juu sana tu..Ziko sawa kila kitu..
Yeah both mkuu..copy.print na scanning pia..Kwaiyo unaweza kutoa kopy na ku print mkuu?
Hapo sawa kabisa Ngoja niisakeYeah both mkuu..copy.print na scanning pia..
Ndo maaana napaamini jf AsanteNenda kariakoo utaipata..ingawa wataanza kwanza kukushauri uchukue L 385..ucwasikilize..haziuzi na sio nzuri..
Karibu mkuu..Ndo maaana napaamini jf Asante