Msaada wa malazi Moshi

Msaada wa malazi Moshi

SAFAM classic

Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
10
Reaction score
2
Mimi ni mwanafunzi ambaye Nimechaguliwa chuo cha Mwenge Catholic university.

Hata hivyo Mimi ni mgeni sina ndugu
Hivyo kwa mwenyeji wa moshi ninaomba msaada WA ghetto au chumba

Pia nahitaji kuijua gharama zake
 
Nenda ushirika wa neema au maeneo ya karibu na vyuo. Chumba single maeneo ya karibu na chuo ambacho sio self ni kuanzia 40000 hadi 50000. Chumba self ni kuanzia 60 hadi 100,000 inategemeana na ukubwa na uzuri wa chumba. Ila nje kidogo ya maeneo ya chuo unaweza kupata hata kwa 30,000 single ambayo siyo self na self unaweza kupata kuanzia 50,000. Ila changamoto ya kukaa mbali na chuo kuna tope la balaa hata vumbi ni balaa
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom