Msaada wa mahusiano yaliyovunjika!

Msaada wa mahusiano yaliyovunjika!

Nsam

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
212
Reaction score
290
Naomben msaada hapa nimeachan na mpenz wangu wa muda mrefu na sina mwanamke mwngine nilitarajia nitamuoa mwakan ila kila wakt nikimshirikisha kuhus pete anaonekana hayuko tayar! Nimechoka kuendelea naye

Nimemueleza mengi ya msngi ikiwemo kufungua biashara pamoja katika mahusian yetu ila amekuwa mtu wa kusema hawez

Nilijitoa kwake sana ila yeye alikuwa anachukulia rahisi sana

Nilikuwa mm peekee ndio namtafuta kila wakat nampigia sim mm! Yey anatuma text mda anaotaka huku aksisitza mahusian si mawasiliano!

Pamoja na hayo anapenda sana club na mm si mtu wa club

Ila mara nyingi anataka yake yasikilizwe

Akijua umenunua kitu kwa mama anaswma unampwnda sana mama ako

Unafanya vitu vya maendeleo haonyesh kujal

Nimechukua mda mwngine kuongea naye habadliki

Ila leo nimekamilisha kumwambia tutengana na kila mtu aish na maisha yake
Je kwamm ambaye sina mtu na nahitaj mtu wa mahausian alye serious nifanyaje
 
Haya mambo ni Mungu tuu, sali Sana ukupe wakufanana na wewe. A woman of your ribs
 
Tuanze kwanza una umri gani?unaweza pata yaan anapata wa kwenda kupima pete anazingua doooh huyo hujapangiwa
 
Ana mwanaume mwingine wewe alikufanya reserve tu.

Ila bora hata wewe umefanywa reserve mie nilifanywa first aid
 
Naomben msaada hapa nimeachan na mpenz wangu wa muda mrefu na sina mwanamke mwngine nilitarajia nitamuoa mwakan ila kila wakt nikimshirikisha kuhus pete anaonekana hayuko tayar! Nimechoka kuendelea naye

Nimemueleza mengi ya msngi ikiwemo kufungua biashara pamoja katika mahusian yetu ila amekuwa mtu wa kusema hawez

Nilijitoa kwake sana ila yeye alikuwa anachukulia rahisi sana

Nilikuwa mm peekee ndio namtafuta kila wakat nampigia sim mm! Yey anatuma text mda anaotaka huku aksisitza mahusian si mawasiliano!

Pamoja na hayo anapenda sana club na mm si mtu wa club

Ila mara nyingi anataka yake yasikilizwe

Akijua umenunua kitu kwa mama anaswma unampwnda sana mama ako

Unafanya vitu vya maendeleo haonyesh kujal

Nimechukua mda mwngine kuongea naye habadliki

Ila leo nimekamilisha kumwambia tutengana na kila mtu aish na maisha yake
Je kwamm ambaye sina mtu na nahitaj mtu wa mahausian alye serious nifanyaje
Acha kujipa presha brother... Hiyo pesa ya kufungua biashara mpe ndugu yako aanzishe biashara... Usilazimishe ugonjwa wa moyo
 
Naomben msaada hapa nimeachan na mpenz wangu wa muda mrefu na sina mwanamke mwngine nilitarajia nitamuoa mwakan ila kila wakt nikimshirikisha kuhus pete anaonekana hayuko tayar! Nimechoka kuendelea naye

Nimemueleza mengi ya msngi ikiwemo kufungua biashara pamoja katika mahusian yetu ila amekuwa mtu wa kusema hawez

Nilijitoa kwake sana ila yeye alikuwa anachukulia rahisi sana

Nilikuwa mm peekee ndio namtafuta kila wakat nampigia sim mm! Yey anatuma text mda anaotaka huku aksisitza mahusian si mawasiliano!

Pamoja na hayo anapenda sana club na mm si mtu wa club

Ila mara nyingi anataka yake yasikilizwe

Akijua umenunua kitu kwa mama anaswma unampwnda sana mama ako

Unafanya vitu vya maendeleo haonyesh kujal

Nimechukua mda mwngine kuongea naye habadliki

Ila leo nimekamilisha kumwambia tutengana na kila mtu aish na maisha yake
Je kwamm ambaye sina mtu na nahitaj mtu wa mahausian alye serious nifanyaje
Wanaume wengi sana tunafanya haya makosa,unampenda mwanamke na anaonyesha dalili zote kuwa hakupendi lakini unaendelea kulazimisha,wengine wenye hela zao wanalazimisha mpaka kwa kutumia pesa zao,sasa huyu mwanamke unaemlazimisha mwisho wa siku atakuja kukubali kwakuwa tu unatumia hela,na hizo hela zikikata moto unaanza kuwaka ndani ya nyumba,mbona wanawake wako wengi sana kwanini unataka kuumiza moyo wako kwa huyo mmoja,pia ni vema ukamshirikisha Mungu kwenye hilo jambo kwani hicho ni kifungo cha maisha yako,huwezi kureverse ukishafunga ndoa...
 
Ulichelewa hata hivyo.
Wanawake siriasi wapo.
Embu ongea na @joanah
Naomben msaada hapa nimeachan na mpenz wangu wa muda mrefu na sina mwanamke mwngine nilitarajia nitamuoa mwakan ila kila wakt nikimshirikisha kuhus pete anaonekana hayuko tayar! Nimechoka kuendelea naye

Nimemueleza mengi ya msngi ikiwemo kufungua biashara pamoja katika mahusian yetu ila amekuwa mtu wa kusema hawez

Nilijitoa kwake sana ila yeye alikuwa anachukulia rahisi sana

Nilikuwa mm peekee ndio namtafuta kila wakat nampigia sim mm! Yey anatuma text mda anaotaka huku aksisitza mahusian si mawasiliano!

Pamoja na hayo anapenda sana club na mm si mtu wa club

Ila mara nyingi anataka yake yasikilizwe

Akijua umenunua kitu kwa mama anaswma unampwnda sana mama ako

Unafanya vitu vya maendeleo haonyesh kujal

Nimechukua mda mwngine kuongea naye habadliki

Ila leo nimekamilisha kumwambia tutengana na kila mtu aish na maisha yake
Je kwamm ambaye sina mtu na nahitaj mtu wa mahausian alye serious nifanyaje
 
Naomben msaada hapa nimeachan na mpenz wangu wa muda mrefu na sina mwanamke mwngine nilitarajia nitamuoa mwakan ila kila wakt nikimshirikisha kuhus pete anaonekana hayuko tayar! Nimechoka kuendelea naye

Nimemueleza mengi ya msngi ikiwemo kufungua biashara pamoja katika mahusian yetu ila amekuwa mtu wa kusema hawez

Nilijitoa kwake sana ila yeye alikuwa anachukulia rahisi sana

Nilikuwa mm peekee ndio namtafuta kila wakat nampigia sim mm! Yey anatuma text mda anaotaka huku aksisitza mahusian si mawasiliano!

Pamoja na hayo anapenda sana club na mm si mtu wa club

Ila mara nyingi anataka yake yasikilizwe

Akijua umenunua kitu kwa mama anaswma unampwnda sana mama ako

Unafanya vitu vya maendeleo haonyesh kujal

Nimechukua mda mwngine kuongea naye habadliki

Ila leo nimekamilisha kumwambia tutengana na kila mtu aish na maisha yake
Je kwamm ambaye sina mtu na nahitaj mtu wa mahausian alye serious nifanyaje
Umechukua maamuzi wakati muafaka huyo hakuwa mtu sahihi kwako na hakuwa na mapenzi ya kweli
 
Back
Top Bottom