Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,907
- 183,296
Hebu nisaidie kaka yangu nimetuma pm hata hanijibu.Usjali mkuu, wesubiri tu PM maana tayari tangazo limekamilika...teh
Hebu nisaidie kaka yangu nimetuma pm hata hanijibu.Usjali mkuu, wesubiri tu PM maana tayari tangazo limekamilika...teh
Hataki kukujibu kwasababu anaona wewe na yeye mpo kwenye kada moja...tehHebu nisaidie kaka yangu nimetuma pm hata hanijibu.
Kada gani?Hataki kukujibu kwasababu anaona wewe na yeye mpo kwenye kada moja...teh
TISSKada gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TISS
My Dada, kwani haujawahi kujifunza kitu kupitia hizi nyuzi za kulialia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oooh kumbe[emoji134][emoji134][emoji134]My Dada, kwani haujawahi kujifunza kitu kupitia hizi nyuzi za kulialia...
Ebu ngoja niishie hapa my Dada
Nishatuma kama 5 hivi hata haunijibu jamani[emoji24][emoji24][emoji24]Tuma tena sijaona
Ombi lako limefika mahala muafaka, wapo jinsia ya Ke wenye hali kama yakoNaomben msaada hapa nimeachan na mpenz wangu wa muda mrefu na sina mwanamke mwngine nilitarajia nitamuoa mwakan ila kila wakt nikimshirikisha kuhus pete anaonekana hayuko tayar! Nimechoka kuendelea naye
Nimemueleza mengi ya msngi ikiwemo kufungua biashara pamoja katika mahusian yetu ila amekuwa mtu wa kusema hawez
Nilijitoa kwake sana ila yeye alikuwa anachukulia rahisi sana
Nilikuwa mm peekee ndio namtafuta kila wakat nampigia sim mm! Yey anatuma text mda anaotaka huku aksisitza mahusian si mawasiliano!
Pamoja na hayo anapenda sana club na mm si mtu wa club
Ila mara nyingi anataka yake yasikilizwe
Akijua umenunua kitu kwa mama anaswma unampwnda sana mama ako
Unafanya vitu vya maendeleo haonyesh kujal
Nimechukua mda mwngine kuongea naye habadliki
Ila leo nimekamilisha kumwambia tutengana na kila mtu aish na maisha yake
Je kwamm ambaye sina mtu na nahitaj mtu wa mahausian alye serious nifanyaje
Jamani jamani[emoji134][emoji134]Muongo kwel kwel[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]