Habari zenu wakuu? Nilikuwa naomba kuulizia soko la gari pick up crew cab (double cabin) za Mitsubishi L200. Soko lake likoje Tanzania na bei zake zinazunguka ngapi? nazungumzia miaka kuanzia 94 - 2003. Please mwenye kujua anijuze. Nawashkuru sana in advance.