Tafuta hii speaker mkuu, hautoamini kwa udogo wake lakini mdundo unaotoka ni shidaa. Bei yake ni laki moja tu, kwa kuagiza online.
Anker SoundCore 2 Portable Bluetooth Wireless Speaker Better Bass 24-Hour Playtime 66ft Bluetooth Range IPX5 Water Resistance
Reviews nyingi wanazisifu anker ni decent, ni chini ya dollar 50 sasa hizo mkuu, kwa hali vyuma Daah!, ila kama una mkwanja zichukue hizo....
Nmeuliza inamzidi mnyama sony?Anker
Sony ipo juu zaidi.Nmeuliza inamzidi mnyama sony?
Mimi ninayo sony...Reviews nyingi wanazisifu anker ni decent, ni chini ya dollar 50 sasa hizo mkuu, kwa hali vyuma Daah!, ila kama una mkwanja zichukue hizo....
Sony ipo juu zaidi.
Aiseee nimekutana na music wa Bose ni hatareee
Kama ule wa fiesta
Mambo yamekua mengi na Mengi yamekua Mambo
bose wireless speaker - Пошук Google
[emoji23][emoji23][emoji23] paka chooni mkuuChief-Mkwawa naomba unipe maujuzi kwa faida ya wengi kwa ufupi kuna nyumba nimejenga nataka nihamie soon sasa nataka niweke blue tooth speakers niwe nazicontrol mwenyewe mpk chooni
feedback vipi sheikh, ulifanikiwa kuagiza? mziki wake ukoje!nimeiona mkuu amazon ngoja niiagize nitaleta feedback ila naagiza moja tu ya majaribio
Amazon product ASIN B01MTB55WH
Nilinunua zafeedback vipi sheikh, ulifanikiwa kuagiza? mziki wake ukoje!
Niliagiza za JBL original mziki wake sio wa nchi hii yaani hauelezeki mpk usikie ndio utaelewa na mziki mkubwa sanafeedback vipi sheikh, ulifanikiwa kuagiza? mziki wake ukoje!