Kumbakumba JF-Expert Member Sep 7, 2011 222 18 Apr 12, 2014 #1 Ni mashirika gani huwa yanatoa msaada wa madawati?
Makuku Rey JF-Expert Member Dec 31, 2013 3,387 3,575 Apr 12, 2014 #2 Nenda makampuni ya simu k.v VoDACOM,AIRTEL,n.k pia financial institution k.v CRDB,BARCLAYS,NMB,n.k. Bila kusahau matajiri wakubwa wanaweza kukusaidia mfano,MZEE WA AZAM.
Nenda makampuni ya simu k.v VoDACOM,AIRTEL,n.k pia financial institution k.v CRDB,BARCLAYS,NMB,n.k. Bila kusahau matajiri wakubwa wanaweza kukusaidia mfano,MZEE WA AZAM.
Mgumu04 JF-Expert Member Jul 15, 2011 1,934 1,043 Apr 13, 2014 #4 hv bado kuna uhaba wa madawati mpaka wakati huu?