dimaa JF-Expert Member Jul 30, 2016 4,143 5,609 Jun 4, 2017 #1 Habari zenu viongozi, Kwa wenye kujua bei ya machine ya kuchuja alizeti ( sunflowers), tafadhalini karibuni kwa msaada wenu.
Habari zenu viongozi, Kwa wenye kujua bei ya machine ya kuchuja alizeti ( sunflowers), tafadhalini karibuni kwa msaada wenu.
Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,634 Jun 4, 2017 #3 dimaa said: Hamna wajuvi? Click to expand... Wakuu wapo sema hawajakutana nao uzi