Habarini wakuu, nauliza bei ya mabati ya msouth kwa bei ya kiwandani.
Kama bei itaambatana na grade number itapendeza zaidi. Pia kwa anayefahamu yanakopatikana kwa hapa Mwanza (nasikia kuna kiwanda cha mabati japo sina uhakika).

G32-17,500/-Mabati ya Msouth Migongo Midogo.FT 10
G30-22,500/-Mabat ya Msouth Migongo Mipana.FT 10
G28-29,000/-Mabat ya Msouth Migongo Mipana.FT 10
G28-35,000/-Mabat ya Msouth Bati za Vigae.FT 10