Msaada wa Mabasi ya Mbeya to Tabora

Msaada wa Mabasi ya Mbeya to Tabora

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,098
Reaction score
437
Habarini,

Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au?

Ahsante
 
Magari yapo.
Talking from experience ya miaka 11 iliyopita, nimesafiri sana sana Mbeya-Tabora kwa njia ya Chunya,Manyoni,Sikonge then Tabora mjini na barabara ilikuwa changalawe kwa sehemu kubwa.

Ni safari ngumu ila siku 1 tu mnafika jioni.Ila kwa sasa nadhani ni rahisi kwasababu lami imefika Makongolosi, na nasikia pia kuanzia sikonge mpaka Tabora mjini ni lami pia.Lakini wakati huo ilikuwa ni barabara korofi.Nauli tulilipa 50 wakati huo,itakuwa sasa imepungua kwa sababu ya lami mpaka Makongolosi na sikonge mpaka tabora mjini.

Au waweza zunguka mpaka Dodoma then uunge Tabora,japo ni mzunguko sana.

Nimepamiss sn Tabora.
 
Back
Top Bottom