Bahati nzuri mimi ni mdau wa elimu na hawa wadosi wote ninajua majina ya nyadhifa zao kwa Kiingereza. Hawa huitwa:
Afisa Elimu Vifaa na Takwimu - anaitwa Statistics and Logistics Officer (S.L.O.) Cheo hiki kipo katika ngazi ya Wilaya na Mkoani hakuna Afisa mwenye cheo cha namna hii
Afisa Elimu Taaluma - Wilayani anaitwa DAO-kwa maana ya District Academic Officer na Mkoani anaitwa RAO-kwa maana ya Regional Academic Officer.
Afisa Elimu Vielelezo - Bahati mbaya cheo hiki pia hakipo katika ngazi ya Mkoa ila wilayani tu. Kwa hiyo huyu anaitwa DAVO kwa maana ya District Audio-Visual Officer
Ninawasilisha!