Umeshuka stend, mshike boda boda mwqmbie hitaji lako atakusaidia... au toka kama una pandisha kwenda town, kushoto kuna kamghahawa kazuri kiasi... ingia hapo ukiwa una pata supu, basi waweza ongea hitaji lako na kusaidika...

Kutumia mtandao ndio vyema zaidi ! Boda hawajui chochote khs ubora lodge au hotel,,,, yeye anajua jina tu, atapasifia pazuri akupeleke umpe chake apite hivi,, huduma zinazopatikana humo ndan Wala haelewi

Kwani lodge zote zipo registered online.
Wao ndio ubeba abiria kuwapeleka na kuwatoa lodge fulani,na watz hatuna siri huwa tunamsimulia yeyeto kuhusu chochote tukutanapo njiani.Ni wachache sana huwa bubu wasipige story na bodaboda au taksi driver wakiwa ndani ya usafiri.
Wao wanajua uzuri wa nje wa ndani si unaingia unakagua huwezi lipia huduma bila kujulishwa ubora wa huduma thus huwa kuna receptionist ambae Kazi yake ni marketing pia