Msaada wa links mbali mbali za kupakua series mbali mbali kwa kutumia simu.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,907
2,092
Salam ndugu zangu,natumaini Iddi imekwenda salama.

Samahani jamani,ninaomba mwenye link ambayo itaniwezesha kupakua series mbali mbali kwa kutumia simu.

Link hizo ninazo zihitaji zisiwe za torent maana hii site siielewi na imenishinda kabisaaa kuitumia.

Pia nimejaribu kuangalia link zilizopo kwenye SERIES SPECIAL THREAD hakuna ambayo nimeielewa na ikanisaidia kupata ninachokitaka.

Ninashukuru kwa msaada wenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I am waiting guys.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Mkuu kuna uzi wa Chief-Mkwawa na nyuzi nyingi humu jf zimewekwa za links za kupakua series.

Hadi hizo umekosa??
Mkuu,niliziona hizo link za Mkwawa but hazina uhuru wa kuchagua/kusearch series unayoitaka.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Salam ndugu zangu,natumaini Iddi imekwenda salama.

Samahani jamani,ninaomba mwenye link ambayo itaniwezesha kupakua series mbali mbali kwa kutumia simu.

Link hizo ninazo zihitaji zisiwe za torent maana hii site siielewi na imenishinda kabisaaa kuitumia.

Pia nimejaribu kuangalia link zilizopo kwenye SERIES SPECIAL THREAD hakuna ambayo nimeielewa na ikanisaidia kupata ninachokitaka.

Ninashukuru kwa msaada wenu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia playstore download zeta torrent then ingia google search freshnet series copy then paste kwenye hyo torrent utapata mambo hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom