Utatuzi wa hili upoje wataalamu wa computer

Do santos

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
582
250
Nina Laptop Dell imepata shida ya kuchaji Battery.

Yaani nikiweka Battery peke yake inawaka vizuri bila ya shida lakini nikiweka charger yake ili ichaji moto hauingii.

Nikitoa Battery na kutumia Charger bila ya Battery inaingiza moto unaingia na Laptop inawaka.

Na sasa Battery imebakisha chaji kidogo sana na sijui ntaichaji vipi.

Tatizo ni nini inakua hivi.
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,297
2,000
Unatumia adapter gani? Unaweza kuipiga picha ukaiweka hapa? Kuna baadhi adapter zinaweza haziwezi kuchajisha betri ila kuwasha computer zinawasha safi na ukatumia lakini uwezo wa kujaza betri hazina lakini ni matatizo yanayoyokana na ampier tu hivo jaribu kubadilisha adapter uenda imechoka.
 
2021-06-15 09.53.32.jpg
 
Do santos

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
582
250
Nimebadilisha Adapter bado hali ipo vilevile
Unatumia adapter gani? Unaweza kuipiga picha ukaiweka hapa? Kuna baadhi adapter zinaweza haziwezi kuchajisha betri ila kuwasha computer zinawasha safi na ukatumia lakini uwezo wa kujaza betri hazina lakini ni matatizo yanayoyokana na ampier tu hivo jaribu kubadilisha adapter uenda imechoka.
Sawa mkuu ninunue ya aina gani.
Manake hapa nimebadili charge mambo ni yale yale
Sawa hiyo ni Adapter boss ndo inasababisha ayo yote, nunua adapter nyingine tu hayo ni makopo bos hamna adapter humo na usinunue kama hiyo tena
 
Do santos

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
582
250
Haileti msg yoyote.
Nimejaribu kutoa Battery, nikadiskonecti cmos Battery kisha nikabonyeza power Button kwa sekunde 30.

Kisha nikajaribu kuwasha hali ikawa vile vile.

Sasa ni lazima niamue niwashe kwa kutumia adapter peke yake au Battery peke. Na battery imebakiza chaji kidogo
Inaleta msg kuwa "plug in not charging?"
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,297
2,000
Haileti msg yoyote.
Nimejaribu kutoa Battery, nikadiskonecti cmos Battery kisha nikabonyeza power Button kwa sekunde 30.

Kisha nikajaribu kuwasha hali ikawa vile vile.

Sasa ni lazima niamue niwashe kwa kutumia adapter peke yake au Battery peke. Na battery imebakiza chaji kidogo
Ukipeleka kasa kwenye betri huku ukiwa umeplug in adapter hamna msg inayoonyesha kuwa inaingiza moto lakini haichaji?
 
Phlagiey

JF-Expert Member
Oct 26, 2013
3,486
2,000
Hiyo chaji umekuwa ukiitumia muda wote kabla ya hilo tatizo?
Kama jibu ni ndiyo, basi tatizo litakuwa kwenye charging stystem..
Suluhisho kabla ya kuingia kwenye mfumo wa chaji

Hatua ya kwanza ni kubaini je battery yako inabadiliko lolote la utunzaji moto kabla na baada ya tatizo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom