Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Habari zenu wakuu?nilikua ninaomba kwa yeyote anayefamu ni aina gani ya laptop ukinunua mpya huwa ina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda mrefu,naombeni ushauri please kwani nimefikilia kununua dell latitude notebook e6400 na nimejaribu ku google inasemekana inapiga hadi 19hours je,ya kweli haya?nitashukuru sana kwa mawazo yenu