ethicx
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 311
- 127
Habari ndugu wana JF jamani nina shida yakuweka landing page kwenye computer za internet cafe yangu, yaani ili mteja aweze kutumia internet lazima anunue kama vocha hivi ina username na password ambayo itamruhusu atumie kwa saa moja au nusu muda ukiisha inatokea tena page yskuingiza username na password. Tafadhali yoyote anaejua software au chochote kuhusu hili anijuze nawasilisha wana teknolojia.