Msaada wa labour Case Authority

tony montana

Senior Member
Oct 16, 2014
142
38
Habari za asubuhi mawakili wasomi, Nina omba kwa yeyote mwenye full citation ya kesi ya labour iliyoamuliwa miaka minne au mitano iliyopita, high court labour division, ilikuwa ina muhusu mfanyakazi mmoja wa kcb bank vs kcb bank, anisaidie, moja ya ishu iliyokuwa raised and ruled upon ilikuwa ni whether mfanyakazi akiachishwa kazi anawajibika kulipa madeni ya mikopo aliyokopa kwa mwajiri wake wakati wa ajira yake.
 
Masharti ya mkopo yalisemaje? Kama uliachishwa kwa makosa yako na utovu wa nidhamu wa nidham kwa nini usilipishwe?

Nadhani kila situation itategemea na mazingira yake.
 
Masharti ya mkopo yalisemaje? Kama uliachishwa kwa makosa yako na utovu wa nidhamu wa nidham kwa nini usilipishwe?

Nadhani kila situation itategemea na mazingira yake.

Masharti ya mkopo yalikuwa kimya, hayakuzungumzia ni nini kitatolkea
 
Niko hapa nami naweza pata madini nami ni muhanga

Mkuu kuna kesi ya high court labour division dsm ilishayoa judgement kuhusu ili swala,na maamuzi yalikuwa kuwa mfanyakazi hadaiwi mikopo endapo mwajiri amemuachisha kazi mfanyajazi, hiyo kesi nakumbuka ilikuwa inaihusu benki ya kcb
 
Back
Top Bottom