Msaada wa kwenda Sweden

Msaada wa kwenda Sweden

Hizi threads za kukimbia nyumbani skuiz zimeshamiri ,,,,nin kinaendelea labda niko nyuma Sana ,,,
NB; yote yanawezekana Ni pesa yako tuu tumia pesa upate pesa ,,,all the best kijana
Watu wapo bongo bahati mbaya
 
Hizo report Za watu wenye Furaha Ni propaganda Za wazungu!!
Kama wao wanaongoza kwa kuwa Na watu wenye Furaha kwanini kuna report Za kiwango cha juu Za watu wenye msongo wa mawazo Na kujiua??
wanajiua kwa kuzidiwa na furaha
 
karibu mzee mi nipo sweden hapa hapa mjini karibu na soko kuu,ukipita hii njia ya vumbi inayoelekea makaburi utaona magerejigereji na bodaboda kibao,niulizie tu ushirombo,utaletwa na hata na mtoto mdogo kwani duka langu linafahamika na mke wangu anagenge la mbogamboga
 
karibu mzee mi nipo sweden hapa hapa mjini karibu na soko kuu,ukipita hii njia ya vumbi inayoelekea makaburi utaona magerejigereji na bodaboda kibao,niulizie tu ushirombo,utaletwa na hata na mtoto mdogo kwani duka langu linafahamika na mke wangu neema anagenge la mbogamboga
 
Ulihama Kibiti?
 
Back
Top Bottom