David franco
Member
- Jun 28, 2013
- 27
- 3
Naombeni nisaidie kuweka window 10 nmedownload media creation tools.exe 32bit kwenye window 7 inaniandikia something happen
Naombeni nisaidie kuweka window 10 nmedownload media creation tools.exe 32bit kwenye window 7 inaniandikia something happen
Hakikisha una internet na ukipata error post sentesi nzima ya hio error hapa
Hili tatizo hujitokeza iwapo download ya kwanza haikufanikiwa kwa kutumia Tool husika.Naombeni nisaidie kuweka window 10 nmedownload media creation tools.exe 32bit kwenye window 7 inaniandikia something happen
Chief window yangu sio genuine, nataka kuweka window 10 nafanyaje?
Nipe hatua za kufuata kama mtu asie mtaalam wa it.
Nazionaje mkuu, nipe muongozo wa kuzipata.Unaweza usiwe na windows genuine ila laptop ikawa na key za windows genuine. Umecheki chini ya laptop hamna keys?
Nazionaje mkuu, nipe muongozo wa kuzipata.
Si unasoma? Kama huoni kitu ujue ndio hazipo
Ok,kwa hiyo hakuna namna ya kupata hiyo window 10?.
Ipo lakini ndio itakuwa ni piracy, nenda torrent utaikuta.
Nenda kat.cr halafu search windows 10 then download. Hope unajua torent ni nini
Mkuu nikihitaji kuinstall wireless drivers kweny window 10 baada ya kuburn window 10 ISO nafanyaje?download window 10 iso then burn kweny dvd , anza ku install hutopata any kind of error
Habari Chief!Unaweza usiwe na windows genuine ila laptop ikawa na key za windows genuine. Umecheki chini ya laptop hamna keys?
Zinakuja built in na windows 10,Habari Chief!
Hivi nikihitaji kuweka drivers za wireless na bluetooth kwenye window 10 nafanyaje kiongozi?
Mkuu nimeiona ipo, ina kuna inajitokeza kweny kuingiza window/setup nikipress F12 hainipeleki kwenye options zingine isipokuwa inaniuliza kama kuna tatizo la kurestart pc, nikienda F12 nashindwa kabisa kutambua naendeleaje mana kuna taari3a naziona INFORMATION CONFIGURATION SECURITY BOOT EXITZinakuja built in na windows 10,
Otherwise angalia website ya manufacture wa kifaa chako. Ungeweka model ya hicho kifaa ningekuangalizia.