Msaada wa kuweka window 10

Msaada wa kuweka window 10

Mkuu nimeiona ipo, ina kuna inajitokeza kweny kuingiza window/setup nikipress F12 hainipeleki kwenye options zingine isipokuwa inaniuliza kama kuna tatizo la kurestart pc, nikienda F12 nashindwa kabisa kutambua naendeleaje mana kuna taari3a naziona INFORMATION CONFIGURATION SECURITY BOOT EXIT
Hizo F1 mpaka F12 zinatofautiana baina ya pc na pc unataka kupata kitu gani?
 
Unaweza ukaingia bios mara nyingi ni F2 halafu ukachagua boot order ya kwanza iwe ni mlango wa cd ama port uliochomeka flash ya window halafu save and restart itaanza kuboot na kuweka windows.
Kwenye boot priority order
1. USB FDD
2. ATA HDD
3. ATAPI CD
4. USB HDD
5. USB CD
6. PCI LAN
 
Ukichomeka usb ama cd litakuja kabisa jina lake ili usichanganye
Samahani Chief, niliburn dvd ya window 10 lakini bado sijafanikiwa kufanya installation ya hyo window mana siioni kweny pc japo nimeburn kawaida sijaburn kama IMAGE je inaweza ikawa ndipo penye tatizo?
 
Vyema burn kama image mkuu kuondoa utata, burn lile file la .iso
 
Back
Top Bottom