Msaada wa kuunlock simu ya Huawei Lua 311 U22 ...

Msaada wa kuunlock simu ya Huawei Lua 311 U22 ...

Nzunga

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
170
Reaction score
58
jamani wakuu kama kichwa kinavyojieleza..
Nahitaji msaada wa kuunlock simu yangu ya Huawei Lua 311 U22 ili iweze kutumia line zote...

Nimejaribu kuunlock kwa kutumia miracle box, Alladin, Eagle Eyes na NCK Dongle lakini bado haimalizi kusoma...
 
Back
Top Bottom