Msaada wa Ku'unlock Samsung 4GLTE

Hiyo inatakiwa uwe na akaunti ya samsung iliyosajiliwa hiyo simu. Ni kama I cloud ya iphone
 
hiyo ni copy kaka.tafuta fundi mwenye vifaa kazi afanye mavitu.
 
ndio mkuu nikiwasha nikikaa kidogo inajirudi tena kama kawaida na simu yangu haina memory card mwishon mwa yale maneno wananiambia no command
Una pata 'no command' error kule kwenye recovery mod?
Inawezekana unatumia button sio kule kwenye recovery mode wakati wa ku hard reset{Wipe data/ factory reset},,jaribu kufanya mambo haya,,kama unatumia Power button ku select option husika,badilisha tumia either,Volume Up key kuselect au Volume down key. Kivipi? Kama una navigate kwenye ile recovery mode menu kwa volume down,Basi selecting button inaweza kuwa PB au VP,na kama una navigate kwa volume up basi ni vice versa,selecting button inaweza kuwa PB au VD,,Mediatek devices nyingi huwa hazielewiki huko kwenye recovery,unaweza kuta inatumia order ya kawaida au button combination zipo ovyo ovyo,,so jaribu different combinations za hizo button
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…