ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Ni Samsung 4G LTE MT6572....nilinunua kwa mtu nikawa naitumia sasa katika kubonyeza bonyeza wakawa wanataka Kuingiza privacy passowrd ku unlock....kuna mda naiwasha kabisa halafu naingia hadi kwenyw setting lakini baada ya mda inajirudi tena sasa sijaju ni kufix hilo tatizo au vipNi samsung aina gani? Au ndio inaitwa tu samsung 4glte? na je , ni yakwako kabisa? I mean umenunua brand new dukani au ni ya dili. Kama ni ya dili basi itakuwa imepigwa pin hyo
Model ni A8Ni samsung aina gani? Au ndio inaitwa tu samsung 4glte? na je , ni yakwako kabisa? I mean umenunua brand new dukani au ni ya dili. Kama ni ya dili basi itakuwa imepigwa pin hyo
mkuu hard reset inafanywajejaribu kufanya Hard Reset
. You are now presented with a menujaribu kufanya Hard Reset
Hiyo simu fake /copyHabarini wakuu!
Tafadhari naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya ku unlock Samsung 4G LTE! Nikiwasha inaniandikia please enter your privacy protection password to unlock your phone! iwe na Line au isiwe nayo inaniandikia hivyo! Pia nimejaribu kuhold power button na volume down button inaniletea ku reboot nafanya hivyo lakini inakaa kidogo inanirudisha tena kwenye PIN code ku enter tafadhari
nahisi kitu kama hichoHiyo simu fake /copy
Ni copy si unaona mtk haponahisi kitu kama hicho
Tatizo kubwa ni hzo paswrd...ukiwasha inawaka inakaa kidg inajilock automatically wanakuandikia please enter your privacy protection passwrd nimejaribu kuingiza 0000 inagoma wananambia wrong PINNi copy si unaona mtk hapo
Sasa unaweza piga picha tuone hilo tatizo lako?
Ume wipe data na cache?Tatizo kubwa ni hzo paswrd...ukiwasha inawaka inakaa kidg inajilock automatically wanakuandikia please enter your privacy protection passwrd nimejaribu kuingiza 0000 inagoma wananambia wrong PIN
NI mehold VD +PB inawaka wananiletea Factory mode mwisho kuna reboot nikireboot inarudi vile vile
nime hold VU + PB inaniletea android system recovery kuna >reboot sytem now> apply update from ADB> apply update from SDCARD > apply update from CACHE > Wipe data/ factory reset> wipe cache partition> backup user data>restore data
ndio mkuu nikiwasha nikikaa kidogo inajirudi tena kama kawaida na simu yangu haina memory card mwishon mwa yale maneno wananiambia no commandUme wipe data na cache?
Solution hapo ni kuflash tu hiyo simu na stock firmware mkuundio mkuu nikiwasha nikikaa kidogo inajirudi tena kama kawaida na simu yangu haina memory card mwishon mwa yale maneno wananiambia no command
naomba nielekezee hii njia na requiremnts zake mkuuSolution hapo ni kuflash tu hiyo simu na stock firmware mkuu
Utatakiwa kuwa na flasher ambayo ni sp flash toolnaomba nielekezee hii njia na requiremnts zake mkuu
oky kwenye model ya simu nitaandika A8 au CMX A8 AU IPI MKUUUtatakiwa kuwa na flasher ambayo ni sp flash tool
Pia stock rom ya simu yako japo kuipata ni issue kidogo
Pia drivers za simu mtk devices hizi zinapatkana mtandaoni kiurahisi.
Kwenye about phone wameandika model gan?oky kwenye model ya simu nitaandika A8 au CMX A8 AU IPI MKUU
Download cpu z ipo playstore ndio itatoa model sahihi.oky kwenye model ya simu nitaandika A8 au CMX A8 AU IPI MKUU