Joseph Ngomasi
Member
- Jul 20, 2011
- 13
- 1
Wakuu habari zenu, naombeni maelekezo utaratibu wa kuunganishiwa chanels za super sports kwani mi naish kijijini nataka kufanya biasha ya kuonesha michezo
ahsanteni
ahsanteni
nenda kwenye ofisi za dstv au wakala wao, nadhani wapo karibu kila mkoa
asante kwa ushauri mkuu.nenda kwenye ofisi za dstv au wakala wao, nadhani wapo karibu kila mkoa