Lipa deni, hilo tatizo huanza unapotangaza kiasi kikubwa kuliko kiasi ulichonacho kwenye account. Weka hela kwenye kadi watakata hela yao kisha utatangazaMsaada tutani nashindwa kupost matangazo katika Instagram account yangu naletewa ujumbe huo hapo chini.
Anayeweza kunisaidia kuirudisha katika hali yake ya kawaida tufanye biashara
Call 0759212578View attachment 1641797