Msaada wa kutopata jumbe za kampuni za simu

Msaada wa kutopata jumbe za kampuni za simu

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Wakuu, nimekuwa natatizwa mno kwa kupokea jumbe toka kampuni za cm za Airtel na Vodacom mpaka wakati mwengine zinajaa.

Ili kuepukana na hii adha naomba njia ya kufanya.

Aksanteni.
 
Back
Top Bottom