Msaada wa kutibu hili tatizo tafadhali

Msaada wa kutibu hili tatizo tafadhali

MTAU JR

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
216
Reaction score
307
Habarini wana ndugu humu jf mwenye kujua dawa ya kupunguza au kumaliza maumivu ya hichi kialama anisaidie

Hapo mwanzoni nilijaribu kupata ushauri kutoka kwa docta moja pale mhimbili akashauri kifanyiwe operation kikatwe then kipigwe sindano kweli tulifanya ivo

Ila baada ya mda kialama kiliongezeka na sasa maumivu yamekuwa makali sana kiasi kwamba usingizi ni wakutafta kwa tochi hivyo nimekuja hapa jf naamini wapo watu watanipa mawazo mbadala

Kwa sasa naombeni mnisaidie dawa ambayo itapunguza maumivu kwasabu uwwzekano wa kukimaliza nahisi nimesha kata tamaa
Ushauri wenu ni muhimu sana wana ndugu

Natanguliza shukurani ....

IMG-20211108-WA0022.jpg
 
Ninaemfahamu alikwenda private hospital na aliambiwa inawezekana kufanyiwa operation kwa gharMa ya £2,500.
 
Hapo imesha fanyiwa operation mhimbili na private ila matokeo ndo bado pia kinaongezeka
 
habarini wana ndugu humu jf mwenye kujua dawa ya kupunguza au kumaliza maumivu ya hichi kialama anisaidie

Hapo mwanzoni nilijaribu kupata ushauri kutoka kwa docta moja pale mhimbili akashauri kifanyiwe operation kikatwe then kipigwe sindano kweli tulifanya ivo

Ila baada ya mda kialama kiliongezeka na sasa maumivu yamekuwa makali sana kiasi kwamba usingizi ni wakutafta kwa tochi hivyo nimekuja hapa jf naamini wapo watu watanipa mawazo mbadala

Kwa sasa naombeni mnisaidie dawa ambayo itapunguza maumivu kwasabu uwwzekano wa kukimaliza nahisi nimesha kata tamaa
Ushauri wenu ni muhimu sana wana ndugu

Natanguliza shukurani ..... View attachment 2107903

Pole sana.
Hapa una husika na keloid au hypertrophic scar.
Msingi wa tatizo uko/vinahusishwa kwenye vinasaba vyako vya urithi/genetics.

Wahusika wakuu wa hili suala ni cosmetic surgeons naamini Muhimbili yupo. Lakini pia teknolojia na daktari muhusika/exposure and experience, mwenye tatizo/genetics vyaweza kuwa ni determinant ya outcome/matokeo.

Je watu uliowaona ni wa kutoka kwenye kitengi hicho? Jaribu kuhakiki hili na kama unaweza kupata lolote toka kwa hawa wahusika.
 
Je watu uliowaona ni wa kutoka kwenye kitengi hicho?
Kuna dactari moja pale mhimbili tuliekezwa kwake yeye ni specialist kwenye ngozi nisinge penda kulitaja jina lake hapa ... tulipo fika akaiangalia akatushauri tufanyiwe upasuaji then tuchome sindano

Kweli tulifanyiwa upasuaji baada ya hapo tukanza sindano baada ya muda ika akanza maumivu makali sana na kikawa kinaongezeka tqratibu kwa sasa hali ndo kama ivo inavyo one kana

Tukipata dawa itakayo saidia kuondoa maumivu tu bas itasaidia sana uwepo wa kovu siyo ishu sana
 
Mkuu hii alama ilianza tu, ama ni kovu la kidonda kingine?
 
Pole sana.
Hapa una husika na keloid au hypertrophic scar.
Msingi wa tatizo uko/vinahusishwa kwenye vinasaba vyako vya urithi/genetics.

Wahusika wakuu wa hili suala ni cosmetic surgeons naamini Muhimbili yupo. Lakini pia teknolojia na daktari muhusika/exposure and experience, mwenye tatizo/genetics vyaweza kuwa ni determinant ya outcome/matokeo.

Je watu uliowaona ni wa kutoka kwenye kitengi hicho? Jaribu kuhakiki hili na kama unaweza kupata lolote toka kwa hawa wahusika.
Kwajinsi nlivyo elekezwa ndo nlivyo fuata kwahiyo cjajua kama ni watu sahihi au vipi
 
Mkuu hii alama ilianza tu, ama ni kovu la kidonda kingine?
Ili kwaruzwa ka kijiti mda mrefu kidogo kipindi cha primary na kwa kipindi chote hakikuwa na shida japo kialama kilikuwa kidogo
 
Nina watu kama wawili, nao chanzo kilianza kwa ajali, mmoja kujikata kwa kiwembe, mwingine pikipiki. Tuendelee kutafuta ufumbuzi.
 
Back
Top Bottom