Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,474
- 27,162
Ok! Lakini Huyu Dogo ni Mwaka wa 4 huu tokea Huu Ugonjwa Kujitokeza.jaribu tegretal cr 200 ni aina ingine ya phenebabiton ila dozi yake inategemea na level ya ugonjwa
Mkuu Kwa Huku Kwetu (Zanzibar) Tunaita Ugonjwa Wa KIFAFA.Mfalme Ngwaba, huo ni ugonjwa gani?namtakia nafuu ya haraka dogo mwenyezi Mungu amuafu.
Mkuu kuna vidonge anapaswa kunywa kimoja kila Siku kwa muda wa miaka 2.kuna mgonjwa wangu aliandikiwa hivyo vidonge India tatizo kwishnei kabisa.kwa matibabu ya hovyo bongo kila mwezi utakua unamlaza hospitalWakuu habari zenu?
Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.
Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.
Shukrani.
Bado MkuuSamahani mkuu ulishawahikutumia cabamazepine haponyuma
Vidonge Gani Mkuu?Mkuu kuna vidonge anapaswa kunywa kimoja kila Siku kwa muda wa miaka 2.kuna mgonjwa wangu aliandikiwa hivyo vidonge India tatizo kwishnei kabisa.kwa matibabu ya hovyo bongo kila mwezi utakua unamlaza hospital
Dawa unazotumia ikiw abado hajapona nitafute mimi nipate kumtibu na atapona inshallah.Ukihitaji matibabu yangu unaweza kuniandikai barua ya pepe Email yangu fewgoodman@hotmai.com au waweza kuni Add kwenye What'S App yako au Viber yako kw ahii namba +90-534-450-81-69 tupate kuzungumza live auguwe pole mgonjwa wako.Wakuu habari zenu?
Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.
Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.
Shukrani.
Sawa MkuuDawa unazotumia ikiw abado hajapona nitafute mimi nipate kumtibu na atapona inshallah.Ukihitaji matibabu yangu unaweza kuniandikai barua ya pepe Email yangu fewgoodman@hotmai.com au waweza kuni Add kwenye What'S App yako au Viber yako kw ahii namba +90-534-450-81-69 tupate kuzungumza live auguwe pole mgonjwa wako.
Huo hauna tiba ila kuna baadhi ya dawa za kutuliza tuu lakini inategemea na aina ya kifafa, kingine ni mtu kujua dalili au vitu vinavyoweza mfanya akapata kifafa, wengine uwa kinakuja bila sababu yoyote wengine panakuwa na kitu labda akifurahi au kukasirika nk nk. Kubwa ni kumkubali tuu alivyo na kumwandalia maisha yenye mapenzi ya ndugu na jamaa watakaokuwa naye muda wote incase akiwahitajiWakuu habari zenu?
Kwakweli ninae mdogo wangu anasumbuliwa sana na ugonjwa wa epilepsy, na tumejitahidi sana hospital ila kiukweli haijakubali. Kwa sasa tumeamua kukomaa tu na Phenobarbiton ambayo kidogo inaonesha kumpa unafuu.
Kwahiyo naomba msaada kwenu jinsi ya kumsaidia huyu dogo ili apone.Hata wale wanaofahamu kuhusu diet au herbal medicine za kuweza kutibu tatizo pia naomba msaada.
Shukrani.
Huyu Mara Zote Humtokezea Wakati Akiwa Amelala, Ndio Hapo Hustuka Ghafla na Kujaribu Kuinuka na Ndio hapo Huanza Hile Epileptic Seizure yenyewe.Huo hauna tiba ila kuna baadhi ya dawa za kutuliza tuu lakini inategemea na aina ya kifafa, kingine ni mtu kujua dalili au vitu vinavyoweza mfanya akapata kifafa, wengine uwa kinakuja bila sababu yoyote wengine panakuwa na kitu labda akifurahi au kukasirika nk nk. Kubwa ni kumkubali tuu alivyo na kumwandalia maisha yenye mapenzi ya ndugu na jamaa watakaokuwa naye muda wote incase akiwahitaji
Naomba nijibu pmWakuu habari zenu?