kwa kuiangalia tu kuna uwezekano mkubwa ni clone ya sony, sio xperia original. jaribu kutafuta mtaalamu karibu na kwako ajaribu kukuflashia modem
Hii sio sony hii ni mfano wake.Wakuu awali ya yote nawasalimu kwa jina la muumba mbingu na nchi.
.
Wakuu simu yangu aina ya Sony xperia ina tatizo la kukata network na kuandika hakuna sim card mara kwa mara
Pia inatatizo la kupoteza kumbukumbu (inaondoa program niliokuwepo awali wakati naitumia)
Nilikuwa naomba kujua tatizo ni nini maana nime restore ndio shida imezidi
Pia naomba kujua kama kuna program ya ku upgrade androids yake au ku boost system yake
Nimekuwa nikisaidiwa sana kwenye jukwaa hili natumaini mtanisaidia piaView attachment 416919
Hata mimi muonekano tu umenipa mashakskwa kuiangalia tu kuna uwezekano mkubwa ni clone ya sony, sio xperia original. jaribu kutafuta mtaalamu karibu na kwako ajaribu kukuflashia modem
most of now Sony experia are fake .....mi nshawah badilisha sim mbili za aina hiyo tena Z4...... nakushuri uhamie tu huawei
Inawezekana tena firmware zake zipo nyingi sanaKama sio original aki flash itawezekana kweli chief
yap zipo firmware, ila mara nyingi issue za network ni modem inahusikaKama sio original aki flash itawezekana kweli chief
Hiyo sony sio copy!??,angalia kwa makini unaeza ona kuna uwezo wa kuweka chip ya pili,kama sehemu ya memory ni ya line pia ujue kichina hichoWakuu awali ya yote nawasalimu kwa jina la muumba mbingu na nchi.
.
Wakuu simu yangu aina ya Sony xperia ina tatizo la kukata network na kuandika hakuna sim card mara kwa mara
Pia inatatizo la kupoteza kumbukumbu (inaondoa program niliokuwepo awali wakati naitumia)
Nilikuwa naomba kujua tatizo ni nini maana nime restore ndio shida imezidi
Pia naomba kujua kama kuna program ya ku upgrade androids yake au ku boost system yake
Nimekuwa nikisaidiwa sana kwenye jukwaa hili natumaini mtanisaidia piaView attachment 416919
Nakubaliana nawe.......hamna Sony inayosoma G kubwa vile ....hiyo Sony copyHiyo ni fake,angalia mnara jinsi ulivyo ni tofauti na simu zote za Sony.