Ndugu wanaJamiiForums heshima kwenu.
Nilinunua simu ya Sumsung Galax S8 ambayo ni hizi wanaita T-Mobile. Sasa simu ina line 2 lakini inatumia line moja kipart kingine cha kuweka simu hakisomi, 2G na 4G ndo inafanya kazi lakini 39 haifanyi kazi japo inashika ila ukitaka kutumia mtandao haikubali. Nilipeleka kwa fundi akabadili file ikaongeza speed ya kushika lakini still 3G haishiki.
Naomba msaada wenu. Wazee wa IT naombeni msaada