Msaada wa kutengeneza division na points zake kwenye excel

Msaada wa kutengeneza division na points zake kwenye excel

kabayeya

Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
10
Reaction score
23
Mabibi na Mabwana salaam. Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza division na points zake kwenye matokeo ya wanafunzi kidato cha nne, kwenye EXCEL score sheet. Tafadhali ni urgent kwangu maana nimekwama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabibi na Mabwana salaam. Naomba mnisaidie jinsi ya kutengeneza division na points zake kwenye matokeo ya wanafunzi kidato cha nne, kwenye EXCEL score sheet. Tafadhali n urgent kwangu maana nimekeama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Excel is my home-playinground.

Badilisha gredi ziwe namba.
Jumlisha hizo namba.
Tengeneza kamandi itakayopanga divisheni.

Simpo...
 
Tembelea hii forum Tech, Gadgets & Science Forum kuna makala nimeiona kule itakusaidia
 
Back
Top Bottom