Daa mkuu umemvunja moya kabisa, mm naimani jamaa alikuja na anuani ya kwamba umsikilize kisha umwambie wapi aongeze kama kakosea.Hahaha,.. Hizo beat zako zimenikumbusha mbali sana,.. Lol!!!
Anyways,unataka usaidiwe nini sasa maana mi hata sijaelewa haswa unachohitaji,.. ila ka ulitaka tuckilize tu hizo beat zako tushazickia and,..They are straight trash,..!!!
Hebu wewe mwenyewe tu jaribu kuimba kwenye hizo beat uone.!!!
Hahahahahahah *****, atleast hio ya pili kidogo imefata keys vizuri. Ila sote tulianzia huku huku my first beat was piece of shitHahaha,.. Hizo beat zako zimenikumbusha mbali sana,.. Lol!!!
Anyways,unataka usaidiwe nini sasa maana mi hata sijaelewa haswa unachohitaji,.. ila ka ulitaka tuckilize tu hizo beat zako tushazickia and,..They are straight trash,..!!!
Hebu wewe mwenyewe tu jaribu kuimba kwenye hizo beat uone.!!!
ulianza lini mkuuHahahahahahah *****, atleast hio ya pili kidogo imefata keys vizuri. Ila sote tulianzia huku huku my first beat was piece of shit
Toka 2012ulianza lini mkuu
dahh me nilianza serious form 1 mwaka 2005,nilikua natumia hip-hop ejay..nilikua na computer but processor ilikua ndogo,haiwezi Ku install FL 5..hah..staki kukumbukaToka 2012
Sahivi utakuwa mbali sana man,dahh me nilianza serious form 1 mwaka 2005,nilikua natumia hip-hop ejay..nilikua na computer but processor ilikua ndogo,haiwezi Ku install FL 5..hah..staki kukumbuka
komaa bosiSahivi utakuwa mbali sana man,
Sahivi nmeachana na hayo mambo, i was doing it for fun hata hivyo.komaa bosi