Msaada wa kutengeneza achali ya ndimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kutengeneza achali ya ndimu

Discussion in 'JF Chef' started by Sambwisi, Oct 31, 2012.

 1. S

  Sambwisi Senior Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa mpenzi wa achali ya ndimu. Kwa muda mrefu naagiza au nanunua sehemu mbili tofauti jijini Tanga. Leo nimeona niombe msaada hapa JF niweze kutengeneza mwenyewe kwani napata shida ninapoikosa, nami niko Dar.

  Nasubiri majibu yenu.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mkubwa, kwanza kwa Kiswahili sanifu inaitwa achari.

  Pili kazi yake si ndogo, maana unatakiwa ukae kitako uchune ngozi ya ndimu moja moja!

  Ila subiri wataalamu labda wanaweza kuwa na ufundi mwengine zaidi ya niujuao mie :)
   
 3. S

  Sambwisi Senior Member

  #3
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu asante kwa kunielimisha.
  Achari niliyoitaja ndimu hazichunwi, bali zinatumika zilizokwishaiva toka mtini.
   
Loading...