Unatumia package(bundle ya aina/size) gani?
Nina maana yangu kukuuliza hivi...
Sawa,ndo sababu unapata hiyo error,ili uweze ku'connect kama ume subscribe bundle ya kiasi hicho Modem yako inabidi iwe na salio lisilopungua kitu kama 600/= hv baada ya ile 15,000 kukatwa,in other words kama wamesha'deduct ile 15,000 yao nunua tena voucher ya book iweke kwenye modem kisha u'disconect na connect tena itafunguka na utaendelea na michakato yako,try then give me feedback.
Zantel internet huku kibamba haikamati kabisa nimewaconsult sipati jibu nimeamua kuiacha kabisa