Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,178
- 4,409
Habari wanandugu.
Ninaomba kujuzwa au kuelekezwa shule ambayo inachukua combination za Sayansi na Sanaa zenye gharama nafuu za private na zenye kutoa elimu bora. Naomba pia kujua na ada zake, Zipatikane ktk mikoa ya Dsm, Pwani,Lindi, na Mtwara.
Nina ndugu wawili mmoja kabalance combi za HGK na HKL na Mwingine PCM na PCB.
Msaada tafadhali hata kama itawezekana na namba za mawasiliano kwa shule husika.
NB: Ada isizidi milioni mbili kwa mwaka.