Msaada wa kushare chupa ya soda au bia

vidodi

JF-Expert Member
Sep 4, 2014
355
119
Naomba kuuliza kushare chupa ya soda au bia na mtu ambaye juzi nliambiwa anaweza akawa na HIV inaweza leta Maambukizi!!! Msaada
 
Vipi ulifanya kwa kukusudia au ulikua kujajua kuwa ana HIV, ila nijuavyo mimi vijidudu vya ukumwi hufa muda mfupi tu iwapo vitakua kwenye mazingira ambayo sio muafaka kwao. Mfano hizi saloon za kunyoa nina hakika hawa wadudu wangeua wengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom