Msaada Wa Kuscan Picha

Jalim

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
19
Reaction score
0
Jamani Mimi Ni Mgeni Kwenye Mtandao Kwahio Naombeni Mnifahamishe Mimi Nina account Ya Fb Lakini Tatizo Nilonalo Siwezi Ku Add My Profile Picture Naombeni Mnijuze Kwani Mkinijuza Mimi Mtakuwa Mmewajuza Wengi
 
Sasa hapo una scan kweli?Anyway, njia rahisi kama ziko kwenye flash au kamera zihamishie kwenye computer na zitengenezee folder na ipe jina.Baada ya hapo nenda kwenye profile ya facebook kuna sehemu inasomeka Photo, click inakupeleka moja kwa moja kwenye upload photo/video.Ukifika hapo,click ili uweze ku-upload picha kutoka kwenye folder iliyopo kwenye computer yako.Iko elewa muneno?Kama bado sema
 
Nilisha Fanyahivyo Lakini Inatokea Yr Brow Not Supt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…