Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 606
- 1,115
Habari wakuu.
Mwenye kujua lolote kuhusu hili,nataka kusajili App yangu inayojishunghulisha na Soko la mtandani.
Watu wanaweza kuuza na kununua bidhaa kupitaia App yangu.
Wapi naweza kusajili na utaratibu unakuwa vipi.
Au hakuna huduma za usajili wa Apps katika nchi hii.