Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,007
- 306
Nimefuta meseji za malipo yaliyofanyika kwa njia ya M-Pesa wakati nanunua mzigo wa duka muuzaji amesema pesa hajaiona kwa anayeifahamu njia ya kurudisha msaada Tafadhali[emoji31] [emoji30]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app