Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Habati nimesahau previously email na number niliyofungulia je na wezaje kufix hii tatzo maana inanidai
Aseme tu simu ya wizi hyo basiYaani umefungua email umeishau na namba ya simu iliyoitumia kufungua hiyo email umeisahau
Sasa unataka kuludisha nini hapo kiongozi
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Aseme tu simu ya wizi hyo basi
Shida yangu mm ni restore hii simu iwe kama mpya yaan kama imetoka kiwamdan vileYaani umefungua email umeishau na namba ya simu iliyoitumia kufungua hiyo email umeisahau
Sasa unataka kuludisha nini hapo kiongozi
Hapana nimesahau email yake kabisa siyo utani nimesahau email na number yake ya simuAseme tu simu ya wizi hyo basi
Kaka ipo hv hii simu mm nilifunguliwa kila kitu baada ya hapo mm nilichalog out account ya jamaa then nikaweka ya kwangu utata unakuja nilitaka ni format nikaweza kila kitu ikaja sehemu ya kuingiza email nikaweka email yangu na password lakn ina niambia niingiza previously email nika mcheck aliyenifungulia aknitajia email yale nayo inagomaa sasa sijui umenielewa hapoMkuu kuwa mkweli ili usaidike kwa urahisi, yaan hukumbuki email na namba ya simu na password zote? Ina maana hakuna emails huwa unapokea kwenye simu yako? Gmail haiko active??
Nipo tangaaukowap?
Yaani aajisalimisheukowap?
Eeenhe mkafikia wapi baada ya hapo ci uibypass tuKaka ipo hv hii simu mm nilifunguliwa kila kitu baada ya hapo mm nilichalog out account ya jamaa then nikaweka ya kwangu utata unakuja nilitaka ni format nikaweza kila kitu ikaja sehemu ya kuingiza email nikaweka email yangu na password lakn ina niambia niingiza previously email nika mcheck aliyenifungulia aknitajia email yale nayo inagomaa sasa sijui umenielewa hapo
Daaah!!!Yaani aajisalimishe
Inagoma kwa by pass yaan mpaka nafika hapa by pass imenigomeaEeenhe mkafikia wapi baada ya hapo ci uibypass tu
Ndio inakata na ambiwa ni haipatikan ngoja nikupige screen shotEeenhe mkafikia wapi baada ya hapo ci uibypass tu
Nikufanyie remotely weka team viewers kwenye pc yako afu nifate inboxKama unaweza ni saidia step by step ya kuflash simu kwa kutumia pc niambie kaka
NakujaaNikufanyie remotely weka team viewers kwenye pc yako afu nifate inbox