Msaada wa kurecover folder na files zangu baada ya kuscan

Msaada wa kurecover folder na files zangu baada ya kuscan

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,266
Wakuu nahitaji kurecover mafaili yangu ambayo naona kwenye external driver yapo ila nikifungua siyaoni. Niliingia kwenye kompyuta ya mtu nikabeba virusi hadi basi. Nayahitaji mno hayo mafaili wadau
 
download SMadav antivirus then scan upya kwa kutumia hiyo ikimaliza click fix all yatarudi then rudisha jibu hapa
 
Fungua command line, halafu ingiza hii command

attrib -h -r -s /s /d g:\*.*

where g is the drive letter. Itarudisha mafile yote
 
Back
Top Bottom