Msaada wa kupatiwa nyimbo

Msaada wa kupatiwa nyimbo

mwanaharakatihalisi1

Senior Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
107
Reaction score
25
Jamani mimi kusema kweli nimemiss saaaana zile nyimbo za zamani za CCM zile za nambari one na chajenga nchi. Naomba kama kuna mtu alienazo anipandishie nizisikilize kidogo au hata kwenye link anipe tu nizisikilize
 
Ujinga huo nyimbo za magamba unapeleka wapi au wewe gamba?
 
Back
Top Bottom