Msaada wa kupata wafadhili

Msaada wa kupata wafadhili

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Waungwana nadhani muko wazima

Naombeni munisaidie nataka kuandika Business Plan ila itakua ni non Profit lengo langu ni kutoa elimu juuu ya H.I.V and AIDS na Kuelimisha vijana wadogo kushuhulikia masomo kwa kutokujiingiza katika mapenzi yatakayopelekea hio HIV ila pia najikite katika Analy sex Huku kwetu kunaonekana kuzuka pimbi kubwa la kujishuhulisha na matumizi ya 0713 hasa huwarubuni watoto wadogo chini ya mika 15 tena wa kiume kwa hio sio mda watashamirisha mapenzi ya jinsia 1 sasa mimi nataka nitowe hio elimu mashuleni vyuoni na makani
Ishaaalah

Nipeni muongozo namna mzuri itakayvyopelekea kupata mfadhili ama mfadhili kwa mradi kama huo namtoa wapi nikishakuikamilisha?

Natanguliza shukrani
 
Heading 'jamani msaada japo sio sahihi'

Mimi sijaelewa kitu gani hapo ulichoandika ambacho sio sahihi
 
Tuliza wenge.. Ulivyoandika tu inaonyesha that is not your original idea.. Ni kama umesonteshewa now unakurupuka...
 
Waungwana nadhani muko wazima

Naombeni munisaidie nataka kuandika Business Plan ila itakua ni non Profit lengo langu ni kutoa elimu juuu ya H.I.V and AIDS na Kuelimisha vijana wadogo kushuhulikia masomo kwa kutokujiingiza katika mapenzi yatakayopelekea hio HIV ila pia najikite katika Analy sex Huku kwetu kunaonekana kuzuka pimbi kubwa la kujishuhulisha na matumizi ya 0713 hasa huwarubuni watoto wadogo chini ya mika 15 tena wa kiume kwa hio sio mda watashamirisha mapenzi ya jinsia 1 sasa mimi nataka nitowe hio elimu mashuleni vyuoni na makani
Ishaaalah

Nipeni muongozo namna mzuri itakayvyopelekea kupata mfadhili ama mfadhili kwa mradi kama huo namtoa wapi nikishakuikamilisha?

Natanguliza shukrani
HIYO NI PROJECT PROPOSAL MKUU SIO BUSINESS PLAN! TENA KAMA UNASHIDA NJOO PM NIKUSAIDIE MEMORANDUM YAKE!
 
Heading 'jamani msaada japo sio sahihi'

Mimi sijaelewa kitu gani hapo ulichoandika ambacho sio sahihi
Ana maana sio sahihi kupiga dili elewa lengo lake ni kufanya mradi huo kama dili la kupiga hela kutoka kwa wafadhili..upo?![emoji102]
 
kwenu wapi huko kuna wimbi la watoa Tigo...tuwashughulikie tatizo lenu........
 
Ana maana sio sahihi kupiga dili elewa lengo lake ni kufanya mradi huo kama dili la kupiga hela kutoka kwa wafadhili..upo?![emoji102]
Anhaa
Nimekupata mkuu
Nashukuru kwa ufafanuzi [emoji144][emoji144]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom