msaada wa kupata tigo internet configuration ktk simu yangu

msaada wa kupata tigo internet configuration ktk simu yangu

selestin john

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
67
Reaction score
8
naomba kama kuna mtu anajua njia nyingine ya kupata configuration za tigo internet kwenye simu,maana nimejaribu njia ya kuandika WAP MODEL YA SIMU na kutuma kwenda namba 500 lakini message ya confg. haikurudi nikajaribu kutumia ktk menyu ya lain zao ktk wezesha simu yako lakini bado,sijui tatizo nini hawa tigo?
 
Piga 100 na sikiliza maelezo, kisha navigate hadi maelezo ya Kupata hizo configuration, Nadhani wamebadilisha sio 500 tena
 
watumia simu ya aina gani na imetengenezwa wapi?
 
Pia *148*01# utaunganishwa na kupewa maelekezo. Lakini cmu yako lazima iwe na mkwaja
 
Back
Top Bottom