msaada wa kupata software ya kudetect wireless network kwenye laptop yangu tafadhali

msaada wa kupata software ya kudetect wireless network kwenye laptop yangu tafadhali

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
11,681
Reaction score
14,010
nisaidieni wakuu napata tabu sana ku-access programu fulani hv ofisini inayohitaji niwe na wireless connection
 
Mkuu, steveachi na hii kwako imekaa kama news alert kweli? au ulikuwa una maana gani, maana wewe sio jr member.
 
Last edited by a moderator:
kupitiwa tu kaka c unajua tena na kupagawa na mikazi,nisaidie mzee kama hata link ya kudownload hyo ki2 unayo
 
Nadhani driver ndio tatizo cha msingi weka aina ya laptop yako, model yake na os inayotumia
 
na pia si laptop zote zipo capable ya kua na built in wireless, laptop za kizamani hazina so utahitajika ununue adapter. Mfano net gear
 
ni mecer wazee na ina windows 8,ina ki-alama cha wireless lakini hakiwi on kila nikijaribu ku konfigure
 
Back
Top Bottom