Msaada wa kupata softcopy ya vitabu hivi

Msaada wa kupata softcopy ya vitabu hivi

Ngosi

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2011
Posts
391
Reaction score
191
Habari wamanzuoni naweza kupata msaada wa kuweza kupata soft-copy ya vitabu hivi vya science kwa level ya A-Level

kama
1. Conceptual Chemistry Volume I For Class XI
2. Conceptual Chemistry Volume II For Class XII
3. Organic Chemistry
4. inorganic Chemistry

Hivi vyote vya S. CHAND msaada jamani


1082476



1082477


1082479
 
Sidhani kama inawezekana. Niliwahi kubahatisha soft copy ya Chand Physical Chemistry ila ikapotea pamoja na PC.
 
Vinauzwa mtandaoni labda impate mtu ambae kishawahi kununua...ajabu bei yake mtandaoni ni kubwa ukilinganisha na hardcopy...wengi wanachukua maamuzi ya kununua hardcopy.
 
Nyie mnautani kwel mbona me ninavyo karbia vyote nimevidownload libgen.rs
Nicheki nikupatie ngaiza ya organic coz hio haipo kule libgen, nilirushiwa
 
Back
Top Bottom