msaada wa kupata shule au chuo kwa matokeo haya.

EP cosmetics

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
2,469
3,840
habari wanajukwaa, poleni na majukumu ya hapa na pale, natumaini nyote mu wazima wa afya.

naomba msaada wa kupata shule nzuri ya private au chuo kwa matokeo haya ya kidato cha nne

matokeo ni div 3 ya point 24

history D
geography D
kiswahili C
english B
biology C
comm F
b/keeping F
civics C
b/math F

combination zote naona zimegoma, so ninaomba msaada wa kupata shule nzuri ya private au chuo

natanguliza shukrani
 
UMEFAULU masomo 5, una C3, point 24 total hivyo combi za HKL na HGL zote zinakubali wanachotaka kwenye combi usiwe na zaidi ya point 10 wewe una English B=2, Kiswahili C= 3 na History or geography una D=4 hivyo jumla ni 9. Issue ni ushindani uliokuwepo unaweza ukakosa za serikali hivyo jaribu pia kuomba za private. Bali ukifanikiwa uka komae zaidi na utafikia malengo yako.

Acha kumdanganya hapo combi ni moja tu HKL kwa maana unatakiwa kila combi usiwe na zaidi ya point 10 lkn lazima uwe na credit pass kwenye masomo mawawili hauwezi kuwa na DDB ni point 10 hauchaguliwi ila CCD ni point 10 unachaguliwa kwa kigezo cha kuwa na credit pasi kuanzia 2 kwenye comb

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako ni kufikiri mtu akikosea ana nia ya kudanganya. Haikuwa nia yangu, nilikosea kuweka HGL. Ningekuwa nataka kumdanganya wala nisingeweka hivyo vigezo. Hivyo ungeweza kukosoa tu kwa kutumia vigezo nilivyoweka bila kusema nadanganya. Mengine yote uliyo eleza ni sawa.
 
Vigezo vya kuchaguliwa na serikali ni lazima uwe na point zisizozidi 10 kwenye combi na lazima uwe na credit pass kuanzia mbili na pass moja kwenye combi sasa ingia kwenye mfumo wa Tamisemi wa SELFORM wa uyo mwanafunzi chagua HKL cha gua na shule hapo atapata combi ya HKL hata chaguo la pili yaan kuchaguliwa serikalini kwa matokeo hayo ni 80% kwa combi ya HKL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom