Kumar Singh JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 1,064 Reaction score 2,439 Apr 28, 2021 #1 Habari zenu wakuu. Naomba kujua sehemu gani hapa Dar es salaam naweza kupata ribbon za kwenye typewriter maana nimezunguka katika stationary kadhaa sijapata hizi vitu.
Habari zenu wakuu. Naomba kujua sehemu gani hapa Dar es salaam naweza kupata ribbon za kwenye typewriter maana nimezunguka katika stationary kadhaa sijapata hizi vitu.
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,563 Reaction score 5,369 Apr 29, 2021 #2 Samahani nko nje ya maada, Hivi typewriter zipo naweza nkapata na mm moja maana leo nlikuwa nawaza iko kitu
Samahani nko nje ya maada, Hivi typewriter zipo naweza nkapata na mm moja maana leo nlikuwa nawaza iko kitu
Kumar Singh JF-Expert Member Joined Aug 21, 2019 Posts 1,064 Reaction score 2,439 Apr 30, 2021 Thread starter #3 Super Assassin said: Samahani nko nje ya maada, Hivi typewriter zipo naweza nkapata na mm moja maana leo nlikuwa nawaza iko kitu Click to expand... Zipo ila kuzipata mpaka kwenye taasisi maana soko lake limeshakufa.
Super Assassin said: Samahani nko nje ya maada, Hivi typewriter zipo naweza nkapata na mm moja maana leo nlikuwa nawaza iko kitu Click to expand... Zipo ila kuzipata mpaka kwenye taasisi maana soko lake limeshakufa.